Hizi hapa Nafasi za kazi Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) inapenda kuwakaribisha Watumishi wa Umma wenye sifa na nia ya kujiunga na DART kwa njia ya uhamisho kama ifuatavyo:
Mahitaji Muhimu
Chief Executive,
Dar Rapid Transit Agency (DART),
P.O. BOX 724,
DAR ES SALAAM
Mahitaji Muhimu
- Muombaji lazima awe Mtumishi wa Umma;
- Barua ya maombi iandikwe kwa Kiingereza na isainiwe;
- Maombi yapitishwe kupitia kwa mwajiri wa sasa;
- Mwombaji aambatanishe CV ya kisasa;
- Aambatanishe nakala zilizothibitishwa za vyeti, transcripts, na cheti cha kuzaliwa;
- Vyeti kutoka vyuo vya nje vya elimu ya juu lazima vihakikiwe na TCU;
- Cheti cha Sekondari kutoka nje ya nchi lazima kiwe na alama zinazolingana na za NECTA;
- Waombaji waoneshe utayari wao wa kugharamia uhamisho;
- Ni waombaji waliofanikiwa pekee watakaopigiwa simu kwa hatua za ziada.
Chief Executive,
Dar Rapid Transit Agency (DART),
P.O. BOX 724,
DAR ES SALAAM
Attachments