S

Nafasi za Kazi Wilaya ya Missenyi - Utumishi Octoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 44%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
372
Leo tarehe 26/10/2024 Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi kupitia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu – ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia baru ayenye Kumb. Na. FA.97/228/01/09 ya tarehe 25.06.2024. Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi zifuatazo:-

Nafasi zilizo tangazwa​

1. Dereva Daraja la II - Nafasi 3
  • Awe amehitimu Elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) awe na Lesseni ya Daraja la C au E ya uendeshaji wa magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali.
Soma makala zaidi:
  1. Utofauti wa Kufika Kileleni kwa Wanawake
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom