Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi WMO 2025 Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Habari! WMO inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu kwa nafasi zifuatazo:
Habari! WMO inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu kwa nafasi zifuatazo:
- Afisa Msaidizi wa Teknolojia ya Habari (Assistant Information Technology Officer): Nafasi ya mkataba wa miaka miwili, Geneva. Mwisho wa kutuma maombi: 20 Februari 2025.
- Afisa Msaidizi wa Mradi (Assistant Project Officer): Nafasi ya mkataba wa mwaka mmoja, Geneva. Mwisho wa kutuma maombi: 21 Februari 2025.
- Afisa Mradi Mshiriki (Associate Project Officer): Nafasi ya mkataba wa mwaka mmoja, Geneva. Mwisho wa kutuma maombi: 5 Machi 2025.
- Afisa wa Mpango (Programme Officer): Nafasi ya mkataba wa miaka miwili, Geneva. Mwisho wa kutuma maombi: 9 Machi 2025.
Nafasi za Kazi Mkombozi Commercial Bank Plc Februari
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi SADC Februari 2025
Ajira Mpya