Hili hapa tangazo la Nafasi za Makarani wa Mapato 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Nafasi za Kazi ya Mkataba Wilaya ya Tanganyika
Ajira Mpya 60