Nafasi za Ualimu CHITA ACADEM PRE AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL

Nafasi za Ualimu CHITA ACADEM PRE AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL

SiaVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 22%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
181
UONGOZI WA SHULE YA AWALI NA MSINGI CHITA ACADEM PRE AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL ILIYOPO MKOA WA MOROGORO, HALMASHAURI YA MLIMBA, INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WALIMU WENYE VIGEZO NA UWEZO WA KUFUNDISHA DARASA LA KWANZA HADI LA SABA. KWA MASOMO YAFUATAYO
1. reading skills, writing skills, arts and sports and healthcare ( kwa std 1-3)
2. English language( kwa std 3-7)
Nafasi za Ualimu CHITA ACADEM PRE AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL

VIGEZO VINAVYOHITAJIKA
1. Mwalimu mwenye uwezo wa kumudu vema kazi yake ya ufundishaji pasipo usimamizi wowote.
2. Mwalimu mwenye astashaha au stashahada kutoka Chuo kinachotambulika na serikali(kiwe Cha binafsi au serikali)
3. Mwenye uzoefu usiopungua mwaka mmoja au zaidi atapewa kipaumbele zaidi.
4. Mwalimu mwenye maadili mema, utu,upendo,uvumilivu na Ari ya kujituma ili kufikia malengo ya shule na kufanikisha ndoto za watoto.
5. Mwalimu uwezo wa matumizi ya kompyuta itakuwa ni sifa muhimu kwetu ila siyo ya lazima. Pia, mwalimu aliyepata mafunzo ya Montessori itakuwa vema zaidi.

NB: MWALIMU ATAPATA YAFUATAYO TOKA SHULENI.
1. Chumba kitalipiwa na shule ( vitu vya ndani ikiwemo kitanda na GODORO pamoja na vyombo vya kupikia ni jukumu la mwalimu husika)
2. Chakula Cha asubuhi na mchana kitapatikana shuleni.

Kwa mwalimu mwenye vigezo hivyo na uhitaji,tuwasiliane kupitia namba 0658922906 (call and WhatsApp)
Mwisho wa kutuma maombi ni TAREHE 20/12/2024.
Tarehe na siku ya usaili itatolewa kwa walioorodheshwa tu.
ASANTE NA MUNGU AWABARIKI NYOTE NA HILI JUKWAA MBARIKIWE.
 
Back
Top Bottom