- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Ndani ya @SimbaSCTanzania ushindani ni mkubwa, usipoonyesha kitu basi Kuna mwenzako ataonyesha Zaidi na atachukua namba Yako.
Kiukweli changamoto ya kuipata namba Kikosi Cha Kwanza ni kubwa siyo rahisi.
Coach anachagua kulingana na ulichokionyesha mazoezini.
Aongea Okejepher
Kiukweli changamoto ya kuipata namba Kikosi Cha Kwanza ni kubwa siyo rahisi.
Coach anachagua kulingana na ulichokionyesha mazoezini.
Aongea Okejepher
Attachments