Hili hapa tangazo la Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi November 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 07-12-2024 hadi 19-12-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-11-2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-11-2024
Attachments