Mechi mhimu Kwa Simba sports club kwani wakishinda watafufua matumaini Yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano hii ya Shirikisho Africa na kuongeza Point Kwenye rank ya vilabu Bora Africa pia imekua utaratibu Wao kufuzu hatua ya robo fainali Toka mwaka 2017/2018.
Matumaini ya watanzania wengi ni kuona vilabu vyao vinafuzu hatua ya robo fainali Africa na kuziona zikicheza hatua kubwa kubwa kama nusu fainali na Fainali Kwa ujumla.
Mungu ibariki Simba sports club, Mungu ibariki Tanzania