- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 189
Kikosi cha Wachezaji 22 watakaosafiri Kesho Alfajiri kuelekea Angola kuwafuata FC Bravos Maquis katika mchezo wa CAF Confederation Cup utakaochezwa jumapili
Huku wachezaji kadhaa wakikosekana Kwenye safari hiyo, Desse Mukwala, Valentin Nouma, Aishi Manula na wengineo.
Huku wachezaji kadhaa wakikosekana Kwenye safari hiyo, Desse Mukwala, Valentin Nouma, Aishi Manula na wengineo.