Haya hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wanafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-09-2024 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeoya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha yamajina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwakada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikanaWasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwavituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya MyApplications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo naKwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Pakua PDF hapa.
Na
Pakua PDF hapa.
Na
Nafasi za Kazi GIZ Tanzania and EAC
17-07-2025
Nafasi za Kazi Chuo cha SJUT
18-07-2025