Orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, Afya na kada mbalimbali leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 07-09-2024 na tarehe 11-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapo chini
Pakua PDF hapo chini
Nafasi za Ajira Mpya TAWIRI
Nafasi za Kazi 2025
Nafasi 9 za Ajira Mpya MUHAS
Nafasi za Kazi 2025
Attachments