Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini walimu, Afya na kada mbalimbali leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-09-2024 na tarehe 11-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Bonyeza hapa chini ku-download PDF.
Bonyeza hapa chini ku-download PDF.
Maswali ya Usaili TFS 2019-2025
Interview AjiraPorta
Maswali ya Usaili Transport Officer
Interview
Attachments