TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 17-02-2025 AJIRA PORTAL

TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 17-02-2025 AJIRA PORTAL Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
HILI HAPA TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 17-02-2025 AJIRA PORTAL.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 17-02-2025 AJIRA PORTAL



TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 17-02-2025
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom