HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 18-02-2025 PSRS, AJIRA PORTAL NA UTUMISHI.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 18-02-2025

Ajira za Jeshi
Fomu ya Uthibitisho wa Siha Njema Kutoka kwa Mganga wa Serikali Ajira Zimamoto 2025
Zima moto Recruitmen
Nafasi za Kazi Mwananchi Communication Tanzania 19/02/2025
Ajira Mpya 2025