Makamu Mkuu wa Chuo kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18-03-2025 hadi 19-03-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Nafasi za Kazi Epha Hospital
Ajira Mpya 2025
Attachments