Leo, Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye interview - Usaili Ajira Portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-04-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapo chini ku-download PDF zote mbili
Bonyeza hapo chini ku-download PDF zote mbili
Download PDF