Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili, TRA inawataarifu waombaji wa kazi waliotuma maombi kati ya 06 - 19 Februari 2025 kuwa usaili utaanza tarehe 29 Machi 2025. Waombaji wanaoitwa wanapaswa kuzingatia maelekezo husika. PAKUA PDF HAPO CHINI
Attachments
Last edited: