- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Hizi hapa tetesi za usajiri kunako katika club ya Simba sports.
Baada ya Dirisha dogo Jana December 15, 2024 kufunguliwa Viongozi wa wekundu hao hii Leo Tarehe 16 wamekamilisha kumuingiza Kwenye mfumo wa usajiri TFF winga wao mpya Elie Mpanzu Kibisawala rasimi kuanza kukitumikia Kikosi hicho Cha Kariakoo.
Mpanzu atachukua nafasi ya Ayoub Likred ambae aliongezewa mkataba na wekundu hao wa Msimbazi katika dirisha kubwa lililopita mwezi July mwaka huu, Ayoub alipatwa na majeraha ambayo yaliwalazimu mabosi wa Msimbazi kutafuta mbadara wake na wakaangukia Kwa Moussa Camara ambae amekua na kiwango Bora Zaidi kunako club ya Simba sports, na hivyo mabosi hao wameshawishika nae na kuamua kuachana na Ayoub Likred huku wakiangalia namna ya kumuuza au kutamatisha mkataba wake.
Mara baada ya boss Mo dewji kuwasili Juzi December 14, 2024 Amelifufua upya faili la usajiri wa Fei toto anaekipinga kunako club ya Azam FC Tanzania.
Simba wanafanya Kila namna kuona uwezekano wa kumsajiri Kiungo huyo mchezeshaji kwani ameshawashawishi Viongozi hao Kwa kipaji chake anachokionyesha katika Ligi ya NBC Tanzania.
Simba wanahisishwa kwa karibu na usajiri wa Kiungo mkabaji wa DRC Congo anaekipinga kunako club ya Orlando pirates nchini Africa kusini.
Kupitia Coach mkuu wa Simba sports club Fadlu Devi's inaelezwa wazi kua ndiyo pendekezo lake kumhitaji Kiungo huyo Raia ya Congo DRC.
Kiungo Fables Luamba Ngoma inaelezwa kua Coach Fadlu Devi's ameuambia uongozi wa wekundu wa Msimbazi kumuongeza mkataba kwani anampango wa kumtumia katika Kikosi hicho.
Ngoma ambae amekua chaguo la Moja Kwa Moja Kwenye Kikosi Cha Kwanza chini ya Fadlu Devi's ameuambia uongozi wa wekundu hao anataka mkataba wa miaka miwili au Zaidi.
Kiungo mchezeshaji Raia wa Zambia Joshua Mutale (Budo) Kuna uwezekano mkubwa jina lake likakatwa katika dirisha hili dogo la usajiri kwani mchango wake kunako Kikosi Cha Simba umekua mdogo kulinganisha na matarajio ya wengi yalivyokua makubwa pindi tu usajiri wake ulipokamilika katika dirisha kubwa lililopita.
Uongozi wa Simba sports club unaangalia namna ya kuwaongeza mikataba mipya mabeki Wao wa pembeni Mohammed Hussein na Shomari kapombe kwani wamekua na mchango mkubwa katika kilabu hiyo.
Mabeki hao Kwa pamoja wamebakiza miezi Sita "6" katika mikataba Yao kukitumikia Kikosi hicho, hivyo Viongozi wanaona namna nzuri ya kukaa nao mezani kuongeza mkataba mwingine Kila mmoja.
Scout wa Simba sports club anafuatilia Kwa ukaribu mwenendo wa Kiungo mchezeshaji Raia wa Senegal Ibrahim Secky baada ya baadhi ya Viongozi katika timu hiyo kuonyesha kupendezwa na namna ya uchezaji wake kwani Hadi timu ya Taifa ya wakubwa Senegal hua anajumuishwa.
Pia Viongozi wa Simba sports club chini ya Mwenyekiti Wao Mohammed Dewji wamempa onyo Kali Coach mkuu wa timu hiyo Fadlu Devi's baada ya kuona mwenendo wa kasi ya timu Yao haukizi matarajio Yao.