Hivi hapa Viwango vya Mishahara ya Walimu Kada za Ualimu Januari 2025 kwa watanzania wote wa waajiriwa wa serikali nchini Tanzania Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya Malipo ya Mishahara na Motisha kwa Watumishi wa Umma, kama ilivyoainishwa katika Sera ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2010. Katika jitihada za kufikia malengo ya sera hiyo, serikali imefanya marekebisho ya mishahara kwa watumishi kuanzia tarehe 1 Julai, 2022. Marekebisho hayo yameongeza viwango vya chini vya mishahara kwa asilimia 23.3, kutoka shilingi 300,000 hadi shilingi 370,000 kwa mwezi. Ngazi nyingine za mishahara pia zimeboreshwa kulingana na madaraja na vyeo tofauti.
Nafasi za Kazi Chama cha Walimu Tanzania CWT Januari
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi Jitegemee Holding
Ajira Mpya 2025