- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 190
Kwa mujibu wa uteuzi wa CAF, mechi ya Simba Dhidi Ya Bravo itakayopigwa January 12, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni kwa saa za Angola ambazo ni sawa na saa 1:00 usiku kwa Afrika Mashariki na Kati itaamuliwa na waamuzi kutoka Burkina Faso.
Waamuzi wa mechi ya Bravos na Simba wanatarajiwa kuwa, Jean Ouattara atakuwa kati akisaidiwa na Seydou Tiama atakayekuwa laini namba moja na Levy Sawadogo atakayekuwa mwamuzi msaidizi namba mbili, wakati mwamuzi wa akiba atakuwa ni Hamidou Diero.