Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili BOT kuitwa kwenye interview Benki Kuu ya Tanzania. Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Pakua PDF hapo chini orodha ya kuitwa kwenye usaili.
Pakua PDF hapo chini orodha ya kuitwa kwenye usaili.
Attachments