Walioitwa kwenye Usaili DUCE - Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam

Walioitwa kwenye Usaili DUCE - Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam Interview Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya majina ya kuitwa kwenye interview Walioitwa kwenye Usaili DUCE - Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Salaam (DUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06-03-2025 hadi 07-03-2025 n a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa kwenye Usaili DUCE - Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam


Bonyeza hapo chini Ku-download PDF
 

Attachments

Last edited:
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom