Hii hapa orodha ya majina ya kuitwa kwenye interview Walioitwa kwenye Usaili TARURA Februari 2025 leo, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) anapenda kuwatangaza waombaji waliopita hatua ya awali kwa nafasi za ENGINEER II na TECHNICIAN II, waliotuma maombi kulingana na Tangazo la Kazi lenye kumbukumbu namba AB.11/288/01E/30 la tarehe 07 Januari 2025, lililochapishwa kwenye tovuti ya TARURA (tarura.go.tz).
Waombaji hawa wanatakiwa kufika kwa ajili ya mtihani wa Aptitude kama ilivyoelekezwa hapa chini.
Bonyeza hapo chini ku-download PDF
Waombaji hawa wanatakiwa kufika kwa ajili ya mtihani wa Aptitude kama ilivyoelekezwa hapa chini.
Bonyeza hapo chini ku-download PDF
Nafasi za Kazi One Acre Fund 27feb
Ajira Mpya 2025
Attachments