Walioitwa kwenye Usaili TFS, GCLA, TAWA, TAFICO Machi 2025

Walioitwa kwenye Usaili TFS, GCLA, TAWA, TAFICO Machi 2025 Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya majina ya kuitwa kwenye interview Walioitwa kwenye Usaili leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Huduma za MisituTanzania (TFS), Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mamlaka ya Usimamiziwa Wanyamapori (TAWA), Shirika la Uvuvi (TAFICO) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wotewalioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11-03-2025 hadi 28-03-2025 hatimayekuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usailiwanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa kwenye Usaili TFS, GCLA, TAWA, TAFICO Machi 2025


Bonyeza hapo chini ku-download PDF ya majina yote
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom