Walioitwa kwenye Usaili Utumishi NIT, UDSM, MNMA, ATC, WI | Majina ya Nyongeza 2024

Walioitwa kwenye Usaili Utumishi NIT, UDSM, MNMA, ATC, WI | Majina ya Nyongeza 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,640
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 07-12-2024 hadi 30-12-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 06-12-2024​

Walioitwa kwenye Usaili Utumishi NIT, UDSM, MNMA, ATC, WI | Majina ya Nyongeza 2024

Pakua PDF hapa chini, kama una swali uliza kwenye reply.
 

Download PDF

Back
Top Bottom