- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Baada ya ushindi wa jana wa Yanga dhidi ya Tp Mazembe nafikiri maombi yao yawe kwenye mechi ya leo ya Hilal dhidi ya Mc Alger.
Kama Hilal atashinda leo ni wazi Yanga atakwenda robo fainali...
Kwanini?
Mechi itakayofuata ya Yanga itakuwa ugenini dhidi ya Hilal ambayo itakuwa imefuzu tayari kwa kuwa na alama 12 ambazo hazifikiwi na timu yoyote kwenye kundi hivyo wata-relax.
Hata wasipokubali kufungwa, Yanga akipata sare anaenda robo fainali..
Kivipi...?
Yanga akipata sare dhidi ya Al Hilal atakuwa na alama 5.
Mc Alger akishinda dhidi ya Tp Mazembe kwake atakuwa na alama 7
Kumbuka mechi ya mwisho Yanga yupo nyumbani dhidi ya Mc Alger ambaye atakuwa anatafuta sare tu.
Hapo Yanga atatakiwa kushinda ushindi wowote kitu ambacho kinawezekana kabisa kwa Yanga.
Kitu pekee ambacho Yanga wanatakiwa kuombea kwa Ibenge ni kushinda leo kumsimamisha Mc Alger.
Kama Mc Alger atapata ushindi leo, mechi ijayo dhidi ya Yanga Hilal atacheza kwa nguvu kubwa ili kujihakikishia kuongoza kundi.
Bado naiona nafasi kwa Wananchi kusonga mbele...