ZanAjira; Nafasi za kazi 461 Wizara ta Elimu na Mafunzo ya Amali December 2024

ZanAjira; Nafasi za kazi 461 Wizara ta Elimu na Mafunzo ya Amali December 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,160
ZanAjira; Nafasi za kazi 461 Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali December 2024 kama ifuatavyo:

Ajira zilizo tangazwa​

1. Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la III (ZPSE - 08) Nafasi 66 Unguja na Nafasi 46 Pemba
2. Mwalimu wa ‘Physics’ Daraja la III (ZPSE - 08) Nafasi 64 Unguja na Nafasi 34 Pemba
3. Mwalimu wa Elimu ya biashara Daraja la II (ZPSG - 04) Nafasi 68 Unguja na Nafasi 38 Pemba
4. Mwalimu wa ‘TEHAMA’ Daraja la III (ZPSI - 02) Nafasi 53 Unguja na Nafasi 47 Pemba
5. Mwalimu wa ‘Engineering Science’ Daraja la II (ZPSI - 02) Nafasi 3 Pemba
6. Mkutubi Msaidizi Daraja la III (ZPSE - 08) Nafasi 1 Pemba
7. Lab technician Daraja la III (ZPSE-08) Nafasi 7 Pemba
8. Mwalimu wa Maandalizi Daraja la III (ZPSE-06) Nafasi 9 Pemba
9. Mwalimu wa ‘Michezo’ Daraja la III (ZPSE-06) Nafasi 4 Pemba
10. Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la II (ZPSG - 06) Nafasi 11 Pemba
11. Mwalimu wa ‘Physics’ Daraja la II (ZPSG - 06) Nafasi 11 Pemba
ZanAjira; Nafasi za kazi 461 Wizara ta Elimu na Mafunzo ya Amali December 2024

Jinsi ya Kuomba Nafasi za Kazi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (ZanAjira)​

Ili kuomba nafasi za ajira zinazotangazwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, fuata maelekezo yafuatayo:

Hatua za Kuomba:

  1. Njia ya Kuomba:
    • Maombi yote yanawasilishwa kwa njia ya Kielektroniki kupitia Mfumo wa Maombi ya Ajira wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (ZanAjira).
    • Tembelea anuani rasmi: https://portal.zanajira.go.tz.
  2. Tarehe Muhimu:
    • Maombi yataanza kupokelewa tarehe 16 Disemba, 2024 hadi tarehe 31 Disemba, 2024. Hakikisha unawasilisha maombi yako ndani ya muda uliopangwa.
  3. Maelekezo ya Kuandika Maombi:
    • Barua ya maombi lazima itumwe kwa njia ya kielektroniki pekee kupitia mfumo wa ZanAjira.
    • Anwani ya kuwasilisha maombi:
      KATIBU,
      TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
      S.L.P 1587, ZANZIBAR.
  4. Maelezo Muhimu kwa Waombaji:
    • Kila muombaji lazima aainishe nafasi ya kazi anayoiomba ili kurahisisha mchakato wa usaili.
    • Waombaji waliomaliza chuo lakini bado hawajapata vyeti wanaruhusiwa kuomba kwa kutumia Transcript. Hata hivyo, watatakiwa kuwasilisha cheti halisi kabla ya kuanza kazi.
  5. Mahali pa Kupata Taarifa:
    • Tangazo hili linapatikana pia kwenye tovuti rasmi ya Tume ya Utumishi Serikalini: www.zanajira.go.tz.
  6. Msaada wa Kitaalamu:
    • Ikiwa utapata changamoto au unahitaji msaada wa kitaalamu, wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia simu:
      0773 101012.
 

Attachments

Back
Top Bottom