Kubadilisha tahasusi 2025

Kubadilisha tahasusi 2025 Kubadili Combination

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua kwa hatua jinsi ya Kubadilisha tahasusi 2025 kupitia mfumo wa selfom MIS selform.tamisemi.go.tz kubadili combination kunahitaji mipango makini ili kufanikisha mabadiliko ya kitaaluma. Kwanza, fanya tathmini ya maslahi yako, ujuzi, na malengo ya muda mrefu. Pili, chunguza fursa za soko la ajira, hasa katika sekta zinazohitajika kama teknolojia, afya, na nishati mbadala. WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa, amewataka wahitimu wa kidato Cha nne kwa mwaka 2024 ,kufanya mabadiliko ya tahasusi (combination) kulingana na ufaulu wao utakaowawezesha kupangiwa kidato Cha Tano na vyuo kwa mwaka 2025.

Bonyeza hapa kubadili tahasusi kidato cha tano.
Kubadilisha tahasusi 2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom