Recent content by Mgaya

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
  1. Msaada maswali ya usaili wa Afisa Habari

    Msaada maswali ya usaili wa Afisa Habari

    Habari Admin, Nimekuwa shortlisted Ajira Portal kufanya usaili kada ya Information Officer II (Afisa Habari) Kwa yeyote mwenye material tunaomba tusaidiane lakni pia kama kuna Group tuungwe ili kubadilishana uzoefu na kama group halipo basi tusaidie kutuunganisha Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom