Form five Selection 2025

Form five Selection 2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Form five Selection 2025 Uchaguzi au waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 unafanywa na TAMISEMI kwa wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na kufaulu Mtihani wa Taifa (CSEE). Mchakato huu unawapangia wanafunzi shule za sekondari za A-Level au vyuo vya ufundi kulingana na alama zao, mapendeleo yao, na nafasi zilizopo. Matokeo yanatarajiwa kutangazwa Mei 2025, na wanafunzi wataweza kuyapata kupitia tovuti ya TAMISEMI (selform.tamisemi.go.tz) kwa kuchagua mkoa waliyosoma.

Ili kuangalia majina, wanafunzi wanapaswa kutembelea tovuti rasmi, kubofya sehemu ya "Form Five Selection 2025," na kuchagua mkoa wao. Orodha ya waliochaguliwa itaonyesha jina na shule au chuo walichopangiwa. Awamu ya pili ya uchaguzi inaweza kufanyika Agosti 2025 kujaza nafasi zilizobaki. Wanafunzi wanashauriwa kupakua maelekezo ya kujiunga (Joining Instructions) na kujiandaa kwa masomo.

Tazama hapa form five selection Tamisemi.
Form five Selection 2025
Author
Gift
Views
3,869
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom