Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Gharama za Bima ya Afya kwa Mtu Binafsi 2025
Viwango vya Uchangiaji Kwa mwaka 2025, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeandaa vifurushi mbalimbali vya bima ya afya kwa ajili ya watu binafsi. Vifurushi hivi vinalenga kutoa huduma bora na za uhakika kwa wateja wake kulingana na mahitaji yao. Vifurushi vya bima ya afya vinavyotolewa na NHIF kwa watu binafsi ni pamoja na Ngorongoro Afya na Timiza Afya.