Orodha ya Majina ya walimu walioitwa kazini PDF 2025 walioajiriwa katika Utumishi wa Umma baada ya kufaulu kwenye Usaili wa Kada za Walimu wa Kawaida, Amali na Biashara yanapatikana kupitia tovuti www.ajira.go.tz na kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii
Matokeo haya ni kwa wale waliofanya usaili kati ya tarehe 14 hadi tarehe 17 Januari 2025 kwa baadhi ya Mikoa.
Majina mengine yanaendelea kutoka, endelea kutembelea website yetu na kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Taarifa zaidi kukujia
Angalia hapa majina ambayo yapo tiari na wameitwa kazini kada za ualimu na taasisi mbalimbali.
1. PDF za walimu
2. Kada za Ualimu
3. Kuitwa kazini kada za walimu
Hongera Walimu
Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo.