Majina ya Walimu Walioitwa Kazini Ajira Portal | Taasisi Mbalimbali

PDF Majina ya Walimu Walioitwa Kazini Ajira Portal | Taasisi Mbalimbali 2025/2026

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
LEO: Haya hapa Majina ya Walimu Walioitwa Kazini Ajira Portal | Taasisi Mbalimbali Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-05-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walimu Walioitwa Kazini Ajira Portal | Taasisi Mbalimbali


Download PDF hapa
Author
GiftVerified member
Downloads
1,190
Views
16,425
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom