TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 10-02-2025 Utumishi

TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 10-02-2025 Utumishi 2025-02-10

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini kada za walimu, afya, na kada zingine kutoka Taasisi mbalimbali za Umma. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 28-04-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 10-02-2025 Utumishi
Author
GiftVerified member
Downloads
1,724
Views
19,090
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom