Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe 18-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
1. Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku (TORITA)
2. Wizara ya Katiba na Sheria
3. Wakala Ya Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA)
4. Halmashauri ya Wilaya ya Meatu
5. Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA)
6. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
7. Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC)
8. Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI)
9. Shirika la Reli Tanzania (TRC)
10. Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE)
11. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
12. Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
13. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
14. Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)
15. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Kuitwa kazini Ajira Portal (Utumishi)
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.1. Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku (TORITA)