Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini

Ajira Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini 27-12

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21 Aprili 2024 na tarehe 18 Novemba 2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Pakua PDF hapo juu.
Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Taasisi Mbalimbali Serikalini
Author
GiftVerified member
Downloads
886
Views
3,061
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom