Nafasi za kazi 1595: Ajira za Walimu 2025 MDAs & LGAs Ajira Portal

Nafasi za kazi 1595: Ajira za Walimu 2025 MDAs & LGAs Ajira Portal 2025-02-11

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nafasi za kazi 1595: Ajira za Walimu 2025 MDAs & LGAs Ajira Portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu moja mia tano tisini na tano(1595) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Nafasi za kazi 1595: Ajira za Walimu 2025 MDAs & LGAs Ajira Portal


Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20 Februari, 2025

Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.

Pakua PDF hapo juu
Author
Sia
Downloads
1,388
Views
11,104
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Sia

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom