Nafasi za kazi 1595: Ajira za Walimu 2025 MDAs & LGAs Ajira Portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu moja mia tano tisini na tano(1595) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20 Februari, 2025
Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.
Pakua PDF hapo juu