Nafasi za Kazi Kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) | Utumishi PDF

Ajira Nafasi za Kazi Kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) | Utumishi PDF 28 Octoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Leo tarehe 28 Octoba 2024 PSRS wametangaza nafasi za kazi Kwa niaba ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki, wenye bidii, wepesi, wenye uzoefu, na waliohitimu ipasavyo kujaza nafasi tatu (3) zilizo wazi kama ilivyoainishwa hapa chini;

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB)​

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) ilianzishwa chini ya kifungu cha 8 cha Sheria ya Sekta ya Nyama, Na. 10 ya mwaka 2006 (Sura ya 421). Bodi hii ilizinduliwa rasmi tarehe 14 Novemba, 2008. Kwa kuzingatia mamlaka yake ya kisheria kama ilivyoainishwa kwenye sheria hiyo, Bodi ina jukumu muhimu la kusimamia na kukuza maendeleo ya sekta ya nyama nchini na ina ushawishi mkubwa katika ustawi wa kijamii na kiuchumi wa Watanzania.
Nafasi za Kazi Kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (TMB)


Ajira zilizo tangazwa​

1. Mtaalamu wa Teknolojia ya Chakula Daraja la II – Nafasi 3

Barua ya maombi iliyosainiwa inapaswa kuandikwa kwa Kiswahili au Kiingereza na ipelekwe kwa:

Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, S.L.P. 2320, Jengo la Utumishi katika Chuo Kikuu cha Dodoma – Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro – Dodoma. au tembelea Ajira Portal hapa

Soma zaidi: Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal
Author
Gift
Downloads
280
Views
1,031
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom