Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Wizara ya Maji, Taasisi ya Maji (WI), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na ari ya kufanya kazi kuomba nafasi za ajira zilizotangazwa. Ajira Nafasi za Kazi Iringa Water Supply & Sanitation Authority (IRUWASA) Ajira Portal