Hili hapa tangazo la nafasi za kazi TUWASA Kwa niaba ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na ari ya kufanya kazi kuomba nafasi za ajira zilizotangazwa.