Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Kada za Afya Jiji la Dar Es Salaam Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25 Mei 2024 mpaka 12 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini kinondoni
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Mji Ifakara: Halmashauri ya Mji wa Ifakara ni moja ya Mamlaka za Serikali za Mitaa tisa katika Mkoa wa Morogoro. Ilianzishwa rasmi kuanzia tarehe 25 Septemba, 2015 kupitia Tangazo la Serikali namba 220. Mnamo tarehe 4 Desemba, 2015 ilipata cheti chake cha kuanzishwa na kuanza kufanya kazi rasmi kuanzia Januari 2016.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25 Mei 2024 mpaka 12 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wote waliofanikiwa wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa kituo cha kazi ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya tangazo hili. Barua zinapatikana katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi. Barua ambazo hazitachukuliwa ndani ya muda uliowekwa zitatumwa kupitia anuani za posta za wahusika.Pitia: Kuitwa kazini kinondoni
Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.