Leo, Orodha ya majina Walioitwa Kazini ajira portal na Utumishi Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 18 Oktoba, 2024 hadi tarehe 19 Oktoba, 2024 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Download PDF hapo juu
Download PDF hapo juu