Haya hapa majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi na ajira portal leo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-06-2025 hadi 21-06-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo hapo juu kwenye PDF.
- Author Gift
- Creation date
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa