Hili hapa tangazo la nafasi za kazi ajira portal Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29.04.2025. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi kumi na sita (16) kama zilivyoainishwa hapo juu kwenye PDF.
- Author Gift
- Creation date
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.