Search results
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
-
Kozi nzuri za kusoma kwa Combination ya PGM Kujiunga na Chuo
Hizi hapa Kozi nzuri za kusoma kwa Combination ya PGM 1. Bachelor of Science in Civil Engineering 2. Bachelor of Science in Electrical Engineering 3. Bachelor of Science in Mechanical Engineering 4. Bachelor of Science in Environmental Engineering 5. Bachelor of Science in Geomatics 6... -
Kozi nzuri za kusoma kwa Combination ya HKL Kujiunga na Chuo
Hizi hapa Kozi nzuri za kusoma kwa Combination ya HKL 1. Bachelor of Arts with Education 2. Bachelor of Education in Arts 3. Bachelor of Kiswahili 4. Bachelor of Arts in Literature 5. Bachelor of Arts in History 6. Bachelor of Arts in Language Studies 7. Bachelor of Arts in... -
Waliochaguliwa NACTVET 26-07-2025
Hii hapa orodha ya majina ya waliochaguliwa NACTVET kujiunga na vyuo vya Afya na Sayansi 2025 Waombaji wote wanaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi kupitia tovuti ya Baraza (nactvet.go.tz) kwa kubonyeza CAS Selection 2025 kwa ajili ya kupata taarifa zaidi. Angalia hapa... -
MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KAMPUNI YA MELI TANZANIA(TASHICO) AJIRA PORTAL
Mabadiliko ya tarehe ya usaili wa Vitendo Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote wa kada ya MARINE ENGINEER II, DECK OFFICER II, ONBOARD ATTENDANT II, ORDINARY SAILOR II, MOTORMAN II ambazo mwajiri wake ni Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) kuwa... -
MATOKEO YA UCHAGUZI WA WAOMBAJI WA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 CAS SELECTION
Matokeo ya uchaguzi wa waombaji wa kozi za Afya na Sayansi Shirikishi 2025 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2026... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 25-07-2025 AJIRA PORTAL
Haya hapa majina ya walioitwa kazini ajira portal Taasisi mbalimbali Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili... -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 24-07-2025 AJIRA PORTAL
Haya hapa majina ya walioitwa kazini ajira portal Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazimbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 hadi 16 Julai, 2025 kuwa, majina ya waombajikazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Pakua PDF hapa... -
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025 AJIRA PORTAL
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025... -
Nafasi za Kazi NBC Bank Sea Cliff Branch 24-07-2025
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi NBC Bank Sea Cliff Branch kwa watanzania wote wenye sifa, ari nia waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo na kuweza kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa. Tuma maombi hapa. -
ORODHA YA WAAJIRIWA WA KADA YA AFYA KUPITIA PROGRAMU YA TIMCHIP TAMISEMI 23-07-2025
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini walioajiriwa waajiriwa wa kada ya Afya kupitia program ya TIMCHIP Tamisemi. Pakua PDF hapo chini nimekuwekea. -
TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA YA MKATABA PROGRAMU YA TMCHIP TAMISEMI PDF
Haya hapa majina ya walioitwa kazini ajira ya mkataba programu ya TMCHIP Tamisemi Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapendakuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika Programu ya Mpango waUwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania yaani... -
Walioitwa kazini Tamisemi PDF 23-07-2025
Walioitwa kazini Tamisemi Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapendakuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika Programu ya Mpango waUwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternaland Child Health Investment Program (TMCHIP)... -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) ULIOFANYIKA TAREHE 23/07/2025 AJIRA PORTAL
Matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi na technolojia mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 23/07/2025 ajira portal Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original... -
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) ULIOFANYIKA TAREHE 21/07/2025 AJIRA PORTAL
Matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi na technolojia mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 21/07/2025 ajira portal Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original... -
MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA WATER TECHNICIAN II (HYDROGEOLOGIST) - RUWASA AJIRA PORTAL
Mchanganuo wa tarehe ya usaili kwa wasailiwa wa kada ya water technician II (Hydrogeologist) - Ruwasa Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. Pakua PDF hapa... -
MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA WASAILIWA WA KADA YA AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) - MDAs & LGAs AJIRA PORTAL
Mchanganuo wa tarehe ya usaili wa vitendo kwa wasailiwa wa kada ya Afisa Tehama II (Programmer) - MDAs & LGAs Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. Pakua PDF hapa... -
MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA WASAILIWA WA KADA YA DEREVA DARAJA LA II MDAs & LGAs AJIRA PORTAL
Mchanganuo wa tarehe ya usaili wa vitendo kwa wasailiwa wa kada ya Dereva daraja la II MDAs & LGAs Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. Pakua PDF hapa... -
MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA WASAILIWA WA KADA YA FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II) - WIZARA YA AFYA AJIRA PORTAL
Mchanganuo wa tarehe ya usaili wa vitendo kwa wasailiwa wa kada ya fundi saniu ujenzi II (Technician Civil II) Kutoka Wizara ya Afya Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. Pakua PDF... -
MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO WA KADA YA TECHNICIAN CIVIL YA RUWASA AJIRA PORTAL
Mchanganuo wa tarehe ya usaili wa vitendo wa kada ya technician civil ya RUWASA Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa. Pakua PDF hapa... -
MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI TAASISI YA TIBA YA MIFUPA MUHIMBILI (MOI) AJIRA PORTAL
Mabadiliko ya ratiba ya usaili Waombaji kazi waliioitwa kwenye usaili wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kada za ICT OFFICER (PROGRAMMER), MEDICAL OFFICER II, SHOE MAKER II, ARTISAN II (PAINTER), RADIOLOGY SCIENTIST II , RADIOGRAPHY TECHNICIAN II mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya...