Hii hapa Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF 2025/2026 vinavyotoa mafunzo mbalimbali nchini kwa kutoa wataalamu watakao kwenda kusaidia Taifa kwa ujumla katika sehemu mbalimbali.
Orodha ya Vyuo vya VETA
Ifuatayo ni orodha ya vyuo vya VETA vilivyogawanywa...
Ada na gharama za mafunzo kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA (Vocational Education and Training Authority) zinategemea aina ya mafunzo yanayotolewa, muda wa mafunzo, na aina ya programu au kozi. VETA inatoa mafunzo katika nyanja mbalimbali kama vile ujenzi, umeme, uchoraji, udereva, upishi, na...