Nafasi za kazi 36 Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali na lisilo la kifaida, linalolenga kusaidia kukabiliana na changamoto za afya ya umma kwa Watanzania na dunia kwa ujumla. Vipaumbele vya shirika hili ni pamoja na magonjwa ya kuambukiza kama vile UKIMWI...