Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi BRAC Tanzania Finance Limited (BTFL) November 2024 ambapo ni shirika kubwa zaidi la utoaji huduma za kifedha nchini Tanzania, likiwa na lengo la kutoa huduma za kifedha kwa uwajibikaji kwa watu wa kipato cha chini. Tunazingatia zaidi wanawake wanaoishi katika...