Hizi hapa Nafasi za kazi Taasisi ya Jane Goodall (JGI) December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote nia, ari na sifa kulingana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo hili hapa chini.
Taasisi ya Jane Goodall (JGI) ni shirika la uhifadhi wa jamii ambalo linaendeleza maono na kazi ya Dk Jane...